Wakaaji wengi wa vitongoji duni vya Hazaribagh wana miaka michache tu ya elimu rasmi, au hawana kabisa.[181] Nyumba zao kwa kawaida ni vyumba vya pekee vilivyotengenezwa kwa mbao, bati, au saruji, na kuezekwa kwa nyasi au bati. Nyumba kama hizo mara nyingi ziko karibu na madimbwi au mkondo mkuu unaopitia Hazaribagh, ...
Soma zaidi